
17 Oktoba 2024 - 01:54
News ID: 1495510

Kulingana na Shirika la Habari la - ABNA - : Kijana wa Kimarekani alitembelea kibanda cha Israel kwenye maonyesho ya sekta ya silaha za kijeshi za Israel na kuwaambia: "Nataka kuona teknolojia inayoua na kuwakatakata watoto!" Kwa Hakika! Ni kwa nini wanashangaa kusikia swali hili na hawako tayari kujibu swali?! Si ni ukweli kwamba kuua Wanawake na Watoto wasio na hatia ndio kazi yao ambayo wamebobea kwayo?!
